NEC yaanza kusambaza vifaa vya uchaguzi | Tanzania Yaamua 2015 | DW | 25.09.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Tanzania Yaamua 2015

NEC yaanza kusambaza vifaa vya uchaguzi

Maandalizi ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania yanazidi kuimarika, huku Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ikiwa kwenye mchakato wa kupeleka vifaa vya kupigia kura katika maeneo mbalimbali ya nchi.

default

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, mpaka wakati huu vifaa vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 41.6 vimepelekwa katika maeneo ya vituo vya kupigia kura. Sikiliza mazungumzo yake na Sudi Mnette kwa kubonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Iddi Ssessanga

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com