Mvutano ndani ya CUF waendelea | Matukio ya Afrika | DW | 28.09.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Siasa Tanzania

Mvutano ndani ya CUF waendelea

Baada ya baraza kuu la uongozi taifa la chama cha upinzani CUF kumfukuza aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Ibrahim Lipumba, mwanasiasa huyo amesisitiza kuwa yeye ni mwenyekiti na mwanachama halali.

Sikiliza sauti 02:42

Lipumba asisitiza kuwa yeye ndiye mwenyekiti wa CUF

                              

Sauti na Vidio Kuhusu Mada