Msumbiji: Ukuta wa Berlin ulipoanguka | Matukio ya Kisiasa | DW | 06.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Msumbiji: Ukuta wa Berlin ulipoanguka

Ukuta wa Berlin ulipoanguka mwaka 1989, wafanyakazi 20,000 wa Msumbiji waliokuwa waliokuwa wameajiriwa upande wa Ujerumani ya Mashariki ya Kikomunisti (GDR) walilazimika kurudi nyumbani. Hadi leo miaka 30 baadae bado wanadai malipo waliyoahidiwa.

Tazama vidio 01:49