Mipango ya uhusiano wa EU na Afrika yasambaratika | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mipango ya uhusiano wa EU na Afrika yasambaratika

Kwenye makala ya Mwangaza wa Ulaya, leo hii tunatazama namna mipango ya kuratibu upya uhusiano baina ya Umoja wa Ulaya na Afrika ambayo ilitarajiwa kufanyika mwaka huu ilivyosambaratika. Na janga la virusi vya corona sio sababu pekee ya mkwamo huo. Mtayarishaji na msomaji ni Daniel Gakuba. 

Sikiliza sauti 09:47