JamiiAfrikaMgahawa juu ya jiwe la baharini ZanzibarTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrika23.07.202023 Julai 2020Licha ya udogo wake, mgahawa huu uliojengwa juu ya jiwe lilo baharini ni eneo linalovutia wengi na pamekuwa chanzo kikubwa cha ajira kwa wageni na wenyeji wa kisiwani Unguja, Zanzibar.https://p.dw.com/p/3fpm6Matangazo