Mazungumzo mapya yataleta amani Burundi? | Matukio ya Afrika | DW | 20.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Mazungumzo mapya yataleta amani Burundi?

Mazungumzo ya siku nne ya amani ya Burundi ambayo awali yalipingwa na serikali yataanza Jumamosi mjini Arusha nchini Tanzania. Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, ni mkuu wa mazungumzo hayo.

Sikiliza sauti 03:06

Mahojiano na Makocha Tembele

Sudi Mnette amezungumza na msaidizi wa Rais Mkapa, Makocha Tembele, na kwanza alitaka kujua maaandalizi ya mazungumzo hayo yakoje hadi kufikia wakati huu.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com