1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili. 12.07.2020

Tatu Karema
12 Julai 2020

Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita atangaza kuvunjiliwa mbali mahakama ya katiba, maelfu ya raia nchini Israeli wafanya maandamano katika barabara za mji wa Tel Aviv na watu 6 wauawa katika mlipuko wa bomu katika wilaya ya Jaghatu, Mashariki mwa Afghanistan.

https://p.dw.com/p/3fBeR