Korea Kaskazini iko tayari kuzungumza na Marekani.// Viongozi wa Urusi, Ufaransa na Ujerumani wazungumza kuhusu Syria, huku Papa Francis akitaka mapigano yasitishwe mara moja Ghouta Mashariki.// Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel atarajiwa kutangaza baraza lake la mawaziri leo