1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 03.12.2016

Yusra Buwayhid
3 Desemba 2016

Kiongozi wa serikali ya Italia, Matteo Renzi anajiandaa kukabiliana na kura ya maoni ya ya katiba itakapoitishwa kesho jumapili. Austria itapiga kura ya kumchagua rais katika uchaguzi wa Jumapili. Na, katika ligi ya Ujerumani ya Bundesliga wenyeji Hoffenheim watapambana na FC Cologne.

https://p.dw.com/p/2Tfwy