1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mataifa ya Afrika na mpango wa kukomesha maambukizi ya HIV

Florence Majani
2 Februari 2023

Mataifa 12 ya Afrika yametangaza mipango ya kukomesha maambukizo ya virusi vya Ukimwi kwa watoto ifikapo mwaka 2030 kupitia programu za upimaji, matibabu na kinga kama anavyoripoti Florence Majani kutoka Dar es salaam.

https://p.dw.com/p/4N0on