Maoni: Uganda baada ya uchaguzi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 22.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Maoni: Uganda baada ya uchaguzi

Kipindi cha Maoni safari hii kinatathmini yaliyojiri nchini Uganda katika uchaguzi mkuu uliofanyika Januari 14. Rais Museveni aliibuka mshindi tena kuwa rais. Waganda wana matarajio gani? Sikiliza mitizamo mbalimbali ya wachambuzi kwenye Meza ya Duara. Nahodha ni Zainab Aziz.

Sikiliza sauti 41:00