1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni mbele ya meza ya duara: udhaifu wa mfumo wa kuhifadhi amani duniani

Daniel Gakuba
25 Machi 2022

Maoni wiki hii ni kuhusu uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine. Daniel Gakuba na wageni wake wamejikita zaidi juu ya jinsi mzozo huo umeanika kweupe udhaifu wa mfumo wa kuhifadhi amani duniani.

https://p.dw.com/p/493a9