1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha ndani ya msitu wa Serengeti

20 Septemba 2021

Unaweza kujiuliza ni kwa jinsi gani mtu anaweza kuyafurahia Maisha ya porini, na akachagua kukaa huku kwa siku kadhaa?, kama hujawahi kutembelea mbuga yeyote ya Wanyama leo, Veronica Natalis wa DW Kiswahili atakuonyesha kwa kiasi Maisha ndani ya msitu katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti miongoni mwa hifadhi maarufu duniani iliyopo nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/40ZEx