Mahojiano na kiongozi wa chama cha UPC Uganda Jimmy Akena | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 04.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mahojiano na kiongozi wa chama cha UPC Uganda Jimmy Akena

Nchi ya Uganda inatarajia kufanya uchaguzi mkuu mwakani. Tayari vyama vya kisiasa vinaendelea na michakato ya kujiweka sawa kisiasa. Kwenye Kinagaubaga, Sudi Mnette anazungumza na kiongozi wa chama cha UPC Jimmy Akena ambaye alichaguliwa hivi karibuni kukiongoza chama chake. Je malengo yake ni yapi? Sikiliza

Sikiliza sauti 09:45