1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maalim ni mshauri mkuu wa ACT Wazalendo

Josephat Charo
10 Juni 2019

Kigogo wa siasa wa siku nyingi, Maalim Seif, sasa ni mshauri mkuu wa chama hicho nafasi ambayo ilikuwa wazi kwa muda mrefu tangu aliyekuwa akiishikilia alipoteuliwa na Rais John Magufuli katika serikali yake kwa kupewa wadhifa wa katibu mkuu wa wizara ya maji, hatua ambayo ilimlazimu akihame chama chake hicho alishoshiriki kukiasisi na kujiunga na CCM.

https://p.dw.com/p/3K8l5