1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rushwa kwenye CCM yatia aibu - Lowassa

Mohamed Abdul-Rahman1 Oktoba 2015

Novemba 2013, aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa, alizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya DW juu ya mambo kadhaa ukiwemo mchakato wa uchaguzi kwenye kilichokuwa chama chake, CCM, na kuelezea kusikitishwa na rushwa kwenye uchaguzi huo. Tunaichapisha tena makala hii katika wakati huu ambapo Lowassa anasaka ridhaa ya kuwa rais wa Tanzania kupitia muungano wa vyama vya upinzani.

https://p.dw.com/p/1GgVQ