1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kusaidia yatima na watoto walemavu kupitia mitandao ya kijamii

13 Desemba 2021

Ester Eddyngton Koka ambaye kwa sasa ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha sheria Tumaini Makumira kilichopo Arusha kaskazini mwa Tanzania, anatumia kurasa zake za mitandao ya kijamii hasa Instagramu,kuwasilisha matatizo ya watoto yatima na wenye ulemavu ili wasaidiwe kufikia ndoto zao.

https://p.dw.com/p/44C2e