1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Korea Kaskazini kufunga vituo vya kijeshi

Lilian Mtono
19 Septemba 2018

Korea Kaskazini imesema itavifunga kwa ujumla vituo vyake muhimu vya kijeshi chini ya uangalizi wa maafisa wa kimataifa. Hatua hii inafuatia mkutano wa kilele baina ya kiongozi wa taifa hilo Kim Jong Un na rais wa Korea Kusini Moon Jae-In, mjini Pyongyang. Zaidi ni kwenye vidio hii. Papo kwa Papo: 19.09.2018.

https://p.dw.com/p/35AAd