1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kitisho kinachoukabili Mto wa Mbu

ANUARY MKAMA18 Mei 2020

Mto wa Mbu unategemewa kwa asilimia zaidi ya 80 ya shughuli zote za uchumi za wakazi wa mji huo uliopo Arusha kaskazini mwa Tanzania lakini kwa sasa uhai wa mto huo upo mashakani. Makala hii ya Mtu na Mazingira inaangazia sababu hasa zinazofanya mto huo kuwa hatarini. Ungana na Anuary Mkama kujua mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/3cPYf