Asili na mazingiraKings Metal: Samani za chuma kwa utunzaji mazingiraTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAsili na mazingiraIddi Ssessanga27.11.201827 Novemba 2018Kings Metal Workshop ni karakana inayotengeneza samani kwa kutumia vyuma ili kusaidia kuhifadhi miti na kutunza mazingira. Veronica Natalis aliitembelea karakana hiyo na kutuandalia vidio hii.Papo kwa Papo 27.11.2018.https://p.dw.com/p/390dzMatangazo