Kampeni za siasa zaanza rasmi Kenya | Media Center | DW | 29.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kampeni za siasa zaanza rasmi Kenya

Kampeni zaanza rasmi Kenya kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Agosti. Rais Putin azuru Ufaransa ambako amekutana na mwenyeji wake Emmanuel Macron. Na Merkel asema Ulaya haiwezi kuzitegemea tena Marekani na Uingereza kama zamani.

Tazama vidio 01:43
Sasa moja kwa moja
dakika (0)