1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Joto la uchaguzi Marekani lashika kasi

Grace Kabogo
18 Septemba 2020

Rais wa Marekani Donald Trump anaendelea kukabiliwa na shutuma za kutoyashughilikia masuala kadhaa ya taifa hilo.

https://p.dw.com/p/3igxs

Joto la uchaguzi mkuu wa Novemba 3 nchini Marekani, linaendelea kushika kasi katika kipindi hiki ambacho rais Trump akikabiliana na shutuma za kutoshughulikia vyema masuala ya dipolomasia ya kimataifa, janga la virusi vya corona, ubaguzi wa rangi na hata majanga mengine yanayotokea nchini humo. Zaidi kutoka kujua hali ilivyo katika kipindi hiki mchambuzi wa siasa za taifa hilo Profesa Nicolaus Boaz amezungumza na Sudi Mnette.