Tume ya kuchunguza ghasia za wakati na baada ya uchaguzi Tanzania, ina muda wa siku 60 kukamilisha kazi yake, ikitumia mbinu ya kufanya uchunguzi kwa nia ya kukusanya taarifa na kupata ukweli. Je, tume inaweza kupata changamoto na kuathirika katika uandaaji wa ripoti yake kamili ya mwisho. Lukeman Malote, mchambuzi wa siasa akiwa Dar es Salamaanaeleza.