Hisia baada ya uteuzi wa Tulia Ackson kugombea uspika | Matukio ya Afrika | DW | 21.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Hisia baada ya uteuzi wa Tulia Ackson kugombea uspika

Siku moja baada ya Chama cha Mapinduzi CCM kumpitisha naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson kukiwakilisha chama hicho katika kinyang’anyiro cha nafasi ya uspika wa bunge hilo, kumeibua hisia mseto kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa mashuhuri pamoja na wachambuzi wa masuala ya kisiasa. Sikiliza ripoti ya Deo Makomba.

Sikiliza sauti 02:33