Heiko Maas amaliza ziara yake Tanzania | Media Center | DW | 04.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Heiko Maas amaliza ziara yake Tanzania

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Heiko Maas amemaliza ziara yake nchini Tanzania huku akitoa ujumbe wa haja ya kuijenga daraja ya uwiano kwanzia miaka ya kale hadi miaka ya usoni. Maas ameweka shada la maua katika mnara wa askari wa kiafrika walioathirika wakati wakipigana katika Vita Vikuu vya Kwanza vya Dunia.

Tazama vidio 01:27
Sasa moja kwa moja
dakika (0)