1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Haller: Ubingwa wa Bundesliga uko mikononi mwetu

Babu Abdalla22 Mei 2023

Borussia Dortmund inahitaji ushindi dhidi ya Mainz katika mechi yao ya mwisho ugani Signal Iduna Park ili kunyakua taji lao la kwanza la Bundesliga katika muda wa miaka 11. Sebastian Haller alifunga mabao mawili katika ushindi muhimu wa 2-0 mbele ya Ausgburg na kuisaidia Dortmund kuchupa kileleni na alama 70, alama mbili mbele ya Bayern Munich.

https://p.dw.com/p/4Rg2P