1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

FC Augsburg

Augsburg ni mmoja ya timu changa katika Bundesliga, baada ya hatimaye kupanda daraja mwaka 2011. Walipanda haraka na mwaka 2015 wakafuzu kucheza Uropa.

Ingawa ndoa ilichukuwa muda kukamilika, hatimaye TSV Schwaben na BC Augsburg ziliungana na kuwa timu moja mwaka 1969. Wanacheza mechi zao za Bundesliga katika uga wa WWK Arena.

Onesha makala zaidi