1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern yapepea Bundesliga, Arsenal yatota Carabao

Josephat Charo
23 Machi 2026

Bayern Munich yaendelea kupepea kileleni mwa Bundesliga huku ikikaribia kuweka rekodi mpya ya ufugaji mabao. Arsenal yaona cha moto kombe la Carabao dhidi ya Manchester City. Na Taifa Stars ya Tanzania yajiandaa kwa michuano ya FIFA World Series 2026 mjini Kigali, Rwanda.

https://p.dw.com/p/5AuyC