1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

GengeXpress: App inayorahisisha manunuzi Tanzania

Sylvia Mwehozi22 Juni 2021

Katika makala ya Sema Uvume, Sylvia Mwehozi anaiangazia programu ya simu (App) iliyoanzishwa nchini Tanzania kwa ajili ya kurahisisha manunuzi ya bidhaa mbalimbali kutoka sokoni. Je, programu hii inafanyaje kazi? Fuatana na Sylvia kujua mengi.

https://p.dw.com/p/3vJpK