1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Filamu ya "The Royal Tour" kutangaza utalii Tanzania

Babu Abdalla19 Aprili 2022

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua filamu ya Tanzania iliyopewa jina "The Royal Tour" nchini Marekani. Serikali imesema filamu hiyo itaitangaza Tanzania duniani. Je, itakuwa na ushawishi gani katika sekta ya utalii Tanzania bara na visiwani Zanzibar? Ebenezer Mende ni afisa wa bodi ya utalii Tanzania anaizungumzia filamu hiyo.

https://p.dw.com/p/4A6CP