Elimu kwa jamii kupitia ubunifu wa Vita Malulu | Media Center | DW | 04.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Elimu kwa jamii kupitia ubunifu wa Vita Malulu

Kutana na Malulu Vita, mwanasanaa anayetumia ujuzi wake kuielimisha jamii juu ya masuala mbalimbali kama vile ujangili wa wanyama pori, usafi wa mazingira na unyanyasaji wa kijinsia kupitia kazi yake ya uchoraji picha na utengenezaji wa vinyango kwa kutumikia takataka za plastiki.

Tazama vidio 02:04
Sasa moja kwa moja
dakika (0)