DRC: Wananchi walivyopokea kuachiwa kwa Bemba | Matukio ya Afrika | DW | 13.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

DRC: Wananchi walivyopokea kuachiwa kwa Bemba

Wafuasi wa chama cha MLC cha Jean Pierre Bemba wamepongeza kuachiliwa kwa masharti kwa kiongozi wao na mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Nao viongozi wa upinzani na chama tawala wameelezea pia kuridhishwa.

Sikiliza sauti 02:38

Ripoti ya Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa

           

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com