1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CCM yatangaza majina ya wagombea kuelekea Uchaguzi Mkuu

29 Julai 2025

Chama tawala CCM kimetangaza majina ya wagombea walioteuliwa kwenye uteuzi wa awali kwa ajili ya kuwania nafasi za ubunge na uwakilishi ikiwa ni harakati za kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Saumu Mwasimba amezungumza na Luqman Maloto mchambuzi wa siasa Tanzania.

https://p.dw.com/p/4yDSt