″Burundi si salama kwa wanaorejea″ | Media Center | DW | 29.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

"Burundi si salama kwa wanaorejea"

Amnesty Int: Idadi kubwa ya wakimbizi wa Burundi katika mataifa kama Tanzania na Uganda wanahofia kurejea makwao kwa hofu ya kuuwawa na Idadi ya Warohingya nchini Bangladesh yafikia laki tano. Papo kwa papo 29.09.2017

Tazama vidio 01:58
Sasa moja kwa moja
dakika (0)