Bayern Munich na Bayer Leverkusen waandikisha ushindi muhimu wikendi ya kwanza ya mechi kwa 2025. Real Madrid yapigwa mukono fainali ya Super Cup. Na Zanzibar Heroes washuka dimbani dhidi ya Burkina Faso kwa fainali ya Kombe la Mapinduzi vikosi vimejiandaa vipi?