BRUSSELS:Algeria kusaidiwa na NATO kupambana na ugaidi | Habari za Ulimwengu | DW | 12.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BRUSSELS:Algeria kusaidiwa na NATO kupambana na ugaidi

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya nchi za magharibi NATO Bwana Jaap de Hoop Scheffer anaahidi kuisadia nchi ya Algeria kupambana na ugaidi kufuatia mlipuko wa mabomu hapo jana mjini Algiers.

Jumuiya hiyo inaimarisha ushirikiano wake na mataifa kadhaa ya kusini mwa Meditarranean ikiwemo Algeria.Kupambana na ugaidi ulimwenguni ni moja ya mambo muhimu katika ajenda ya Jumuiya ya Kujihami ya NATO inayoshirikisha mataifa 26.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com