Binti wa Mandela afariki dunia | Media Center | DW | 13.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Binti wa Mandela afariki dunia

Huzuni imetanda huko nchini Afrika Kusini baada ya binti wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela kufariki dunia baada ya kuugua. Video hii fupi itakuonyesha miongoni mwa mambo aliyoyafanya binti huyu na kumpa umaarufu mkubwa. #Kurunzi

Tazama vidio 00:49