Bima ya Afya kwa wote Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 12.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Bima ya Afya kwa wote Tanzania

Serikali ya Tanzania ipo katika hatua ya kutaka kupitisha sheria itakayowafanya watu wote kuwa katika mfuko wa bima ya Afya. Lengo ni kuondoa changamato zinazowakabili wananchi wengi na hasa wa vijijini. Katika kipindi cha Kinagaubaga Grace Kabogo amezungumza na Bernard Konga ambae ni mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, NHIF.

Sikiliza sauti 09:47