1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chadema kususia mchakato wa kurekebisha sheria za uchaguzi

Babu Abdalla
10 Novemba 2022

Je, chama cha upinzani Tanzania CHADEMA kina sababu za msingi za kutoshiriki mchakato wa kufanyia marekebisho sheria za uchaguzi na za vyama vya siasa? mchambuzi wa siasa za Tanzania Marcel Hamduni kutoka Mwanza anatoa tathmini yake kwenye mahojiano na Babu Abdalla.

https://p.dw.com/p/4JL03
Ruka sehemu inayofuata Mada zinazohusiana