ANKARA: Mshukiwa ugaidi akamatwa nchini Uturuki | Habari za Ulimwengu | DW | 07.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ANKARA: Mshukiwa ugaidi akamatwa nchini Uturuki

Polisi nchini Uturuki wamemkamata Mjerumani mwenye asili ya Kituruki,anaeshukiwa kulipatia miripuko kundi la Kiislamu lililokuwa na njama ya kushambulia vituo vya Marekani nchini Ujerumani. Inaaminiwa kuwa mshukiwa huyo alikimbilia Uturuki baada ya washirika wenzake watatu kukamatwa na polisi Septemba 4 nchini Ujerumani.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com