ANC yamtetea Jacob Zuma | Matukio ya Afrika | DW | 05.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

mzozo wa kisiasa

ANC yamtetea Jacob Zuma

Chama Tawala cha Afrika Kusini, ANC, kinasimama kidete nyuma ya Rais Jacob Zuma na kupinga shinikizo la wapinzani wanaotaka ajiuzulu. Mchambuzi wetu Nickson Katembo anaeleza kwanini Zuma bado anaungwa mkono.

Sikiliza sauti 02:38

Mahojiano na mchambuzi Nickson Katembo

        

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com