1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Algeria

Algeria ni nchi ya Afrika Kaskazini kwenye upwa wa Bahari ya Mediterenia. Mji wake mkuu ambao pia ndio wenye kukaliwa na watu wengi zaidi ni Algiers.

Algeria ni nchi ya kumi kwa ukubwa dunini, na kubwa kabisa barani Afrika na kwenye ulimwengu wa Kiarabu. Ni ya 17 kwa kuwa na akiba kubwa ya mafuta duniani na ya pili barani Afrika.

Onesha makala zaidi