Papa Leo XIV atoa wito wa msamaha nchini Algeria
14 Aprili 2026
Matangazo
Akitoa hotuba ya heshima kwa waathiriwa wa vita vya uhuru wa nchi hiyo kutoka kwa Ufaransa vya mwaka 1954-1962, Papa Leo alitoa wito wa "msamaha.
''Mahali hapa tukumbuke kuwa Mwenyezi Mungu anataka amani kwa kila taifa, amani ambayo si ya kukosekana kwa migogoro tu, bali ya kielelezo cha haki na utu. Amani hii ambayo inatuwezesha kuangazia siku zijazo kwa roho ya upatanisho, inawezekana tu kupitia msamaha.''
Muda mfupi kabla ya kuondoka Roma, papa huyo mzaliwa wa Marekani alikosolewa hadharani na Trump Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye alikashifu matamshi ya Papa Leo ya kutaka kusitishwa kwa vita nchini Iran.
Akiwa ndani ya ndege, Papa Leo aliwaambia waandishi wa habari kwamba