1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Adha ya mifuko mbadala Dar es Salaam

3 Juni 2019

Siku chache baada ya utekelezaji wa mifuko ya plastiki baadhi ya wananchi wanalalamikio ughali wa bei ya mifuko mbadala. Je unatathimini gani kwa utekelezaji wa zoezi hilo jipya? Zaidi tazama vidio iliyoandaliwa na Ahmad Juma wa Dar es Salaam. Kurunzi

https://p.dw.com/p/3JisM