Abiy Ahmed afanya ziara Rwanda | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 30.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Abiy Ahmed afanya ziara Rwanda

Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed yupo nchini Rwanda kwa ziara ambayo haijagonga kwa kiwango kikubwa vichwa vya habari duniani. Abiy alikuwa Uturuki juma lililopita na kusaini makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi na taifa hilo, lakini alikuwa Uganda na Jumatatu yuko Rwanda. Sudi Mnette amezungumza na Kennedy Wandera, mwandishi na mchambuzi kutoka Nairobi, waziri mkuu Abiy anatafuta nini Rwanda?

Sikiliza sauti 02:31