1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.01.2017 : Matangazo ya mchana

Mohamed Dahman29 Januari 2017

Yaliyomo kwenye matangazo haya ni pamoja na zuio la wageni kutoka nchi za Kiislamu kuingia nchini Marekani latajwa kuwa zawadi kwa watu wenye misimamo mikali, mahakama ya Marekani yazuia kwa muda kuwarejesha wahamiaji na Martin Schulz kutangaza mipango yake ya uchaguzi nchini ujerumani.

https://p.dw.com/p/2Wacb