1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.11.2018: Matangazo ya Jioni

17 Novemba 2018

Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na waziri wa mambo ya nje Mike Pompeo na CIA kujadili suala la kuuawa kwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi na mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Paul Kagame awahimiza viongozi wenzake wa Afrika kufikia makubaliano juu ya mageuzi yaliyojadiliwa kuhusu Umoja huo pamoja na makala ya Vijana mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/38RId