1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 jela

29 Juni 2021

Rais wa zamani wa Afrika Kusini,Jacob Zuma leo amehukumiwa kifungo cha miezi 15 jela baada kupuuza amri ya mahakama ya kumtaka kufika mbele ya tume maalum inayochunguza madai chungu nzima ya rushwa wakati alipokuwa madarakani kati ya mwaka 2009 hadi 2018.

https://p.dw.com/p/3vlQ4

Je Waafrika Kusini wameupokeaji uamuzi huo, umewashtua au waliutegemea?Hilo ni miongoni mwa maswali ambayo Saumu Mwasimba amemuuliza mwandishi habari aliyeko Johannesburg, Bryson Bichwa.