JamiiZiwa Tanganyika lipo hatarini kukauka To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSylvia Mwehozi16.10.201716 Oktoba 2017Katika Makala ya Mtu na Mazingira Prosper Kwigize anaangazia kwa kina tishio la ziwa Tanganyika ambalo lipo hatarini kukauka. Takwimu zinaonyesha kwamba kina cha maji kimepungua sana. Karibu uweze kuelimika. https://p.dw.com/p/2luk0Matangazo