Zanzibar: Vurugu za baada ya uchaguzi | Matukio ya Afrika | DW | 22.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Zanzibar: Vurugu za baada ya uchaguzi

Baadhi ya wakazi wamekimbia, kujeruhiwa na wengine kuvunjiwa majumba yao Mjini Wingwi, Pemba. DW imeezungumza na Ahmed Juma aliyetembelea maeneo hayo na anaelezea kiini cha vurugu hizo.

Sikiliza sauti 02:19

Sikiliza mahojiano ya Ahmed Juma na Sudi Mnette

Sauti na Vidio Kuhusu Mada